Wananchi Washiriki Ukarabati wa Barabara ya MUTURU wilayani TARIME 8:01:00 AM Baadhi ya Wananchi wa Mtaa wa Chira Kata ya Kenyamanyoro katika Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara wakishiriki zoezi la ukarabati m...Read More
HOYECE TEMU afunga Mwaka kwa Kutembelea Kituo cha Wazee 7:49:00 AM Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu (wa pili kushoto) akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waandaaji wa sh...Read More
Timu ya CLOUDS MEDIA GROUP yawalaza Watani wake wa Jadi AZAM MEDIA kwa Bao 2-1 8:05:00 AM Mchezo Baina ya Clouds Media Group dhidi ya Hasimu wao Azam Media Ukiendelea katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam, ambapo Vijana ...Read More
Rais Dkt JOHN MAGUFULI awaapisha Makatibu na Manaibu Katibu Wakuu IKULU 7:50:00 AM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Lauren Josephat Ndumbaro kuwa Katibu Mkuu, ...Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu JENISTA MHAGAMA akutana na Baadhi ya Mawaziri 7:33:00 AM Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Bibi Jenista...Read More
Mwenyekiti wa Boda Boda Mkoa wa MWANZA awaomba Radhi Watanzania 7:20:00 AM Na"George Binagi Mwenyekiti wa Waendesha Pikipiki (Bodaboda) Mkoa wa Mwanza Makoye Kayanda Bunoro anawatakia Waendesha Pikipik...Read More
Mkesha mkubwa wa Kuliombea Taifa wafanyika Jijini Dar es Salaam 7:16:00 AM Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Wiliam Lukuvi kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Ma...Read More