Header Ads

Rais Mstaafu JAKAYA KIKWETE amtambulisha Bi SAMIA SULUHU kwa Rais wa CHINA Xi JINPING, Jijini JOHANNESBURG

Rais Mstaafu wa awamu Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwa Mhe. Rais wa China Xi Jinping, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China uliofanyika leo Jijini Johannesburg. Mhe Rais Mstaafu amehudhuria Mkutano huo kama Rais Mstaafu. Picha na OMR

No comments

Powered by Blogger.