NIGERIA yapanga Kuunda Silaha Zake
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari
ameiamuru wizara ya ulinzi kujenga uwezo wa taifa hilo kujitengenezea
silaha zake, haya ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na afisi ya rais.
"Wizara ya Ulinzi inapewa jukumu la kutoa mipango iliyo bayana ya kujenga kiwanda cha cha zana za kivita nchini Nigeria," Rais Buhari amenukuliwa akisema.
Post a Comment