Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokwenda nyumbani kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, Monduli Juu kuisalimia familia akiwa aktika ziara ya wialya ya Monduli Desemba 4, 20, 16. Kushoto kwake wajane wa marehemu, Napono Sokoine (wpili kulia) na kulia ni Nekiteto Sokoine,Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Post a Comment