Waziri MHAGAMA akutana na Viongozi Wanawake wa Vyama vya Wafanyakazi " TUCTA "
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akizungumza jambo wakati wa Mkutano na Viongozi wanawake wa Vyama vya wafanyakazi TUCTA walipokutana katika Ofisi zao Dar es Salaam tarehe 19 Desemba, 2016. |
Mkurugenzi Idara ya Jinsia na Wanawake TUCTA Siham Ahmed akichangia hoja wakati wa mkutano wao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) alipokutana na Viongozi Wanawake wa Vyama vya wafanyakazi TUCTA Dar es Salaam. |
Post a Comment