Makamu wa Rais SAMIA SULUHU aendelea Kufanya Mazoezi ili Kulinda Afya yake
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akifanya mazoezi ya viungo kwenye viwanja vya makazi yake jijini
Dar es salaam ikiwa sehemu ya kuendeleza kampeni yaKitaifa ya kudhibiti
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza aliyoizindua tarehe 17 Desemba, 2016
katika viwanja vya Leaders Club.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiongozana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi na Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa Oyster bay Ndugu Zefrin Lubuva ikiwa sehemu ya kuendeleza kampeni ya Kitaifa ya kudhibiti
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza aliyoizindua tarehe 17 Desemba, 2016
katika viwanja vya Leaders Club.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiongozana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi na Mwenyekiti wa Serikali za
Mitaa Oyster bay Ndugu Zefrin Lubuva pamoja na wasaidizi wake ikiwa sehemu ya kuendeleza kampeni
ya Kitaifa ya kudhibiti
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza aliyoizindua tarehe 17 Desemba, 2016
katika viwanja vya Leaders Club.
Post a Comment