Mkutano wa Kampeni za EDWARD LOWASSA, Mkoani RUKWA
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akisalimiana na Mkewe, Mama Regina Lowassa, baada ya kuwasilini kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga Mjini, Mkoani Rukwa, leo Sepremba 2, 2015.
Msafara
wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa, ukitoka Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga na kuelekea kwenye
Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kizwitwe,
Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akiwa ameambatana na Mkewe, Mama Regina Lowassa, wakiwapungia mikono
maelfu ya wananchi wa Sumbawanga Mjini, waliofurika kwenye Uwanja wa
Kizwitwe, leo Sepremba 2, 2015.
Sehemu
ya Wananchi wa Mji wa Sumbawanga, wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye
Uwanja wa Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015.
Kulikofanyika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri
ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, leo Sepremba 2,
2015.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe,
akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Ikuo
Malila, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais hiyo,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2,
2015.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe,
akizungumza wakati akitolea taarifa swala na ratiba ya Mikutano ya
Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika
mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa (kushoto) uliofanyika kwenye Uwanja wa Kizwitwe,
Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015.Kulia ni Mke wa Mh. Lowassa, Mama
Regina Lowassa.
Post a Comment