Dkt MOHAMMED BILAL, afungua Kongamano la Manunuzi ya Umma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati
akifungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha.
Picha na OMR
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu
kadi mpya ya Selcom ya kufanyia huduma ya manunuzi na malipo mbalimbali
kutoka kwa Meneja wa Mradi wa Kampuni ya Selcom Tanzania, Gallus
Runyeta, wakati Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho baada
ya kufungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya
ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha. Kadi hiyo inatarajia
kuzinduliwa rasmi mwezi Oktoba mwaka huu. Katikati ni Meneja Mawasiliano
wa Selcom, Sabrina Munir.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu
hudua za SSRA kutoka Afisa Mawasiliano wa SSRA, Sarah Kibonde, wakati
Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho baada ya kufungua
Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa AICC Jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu
hudua za Max Malipo kutoka kwa Samwel Nzunda, wakati Makamu alipokuwa
akitembelea Mabanda ya maonesho baada ya kufungua Kongamano la Manunuzi
ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,
lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa
wa AICC Jijini Arusha.
Picha za pamoja baada ya ufunguzi wa kongamano hilo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya
viongozi, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo, baada ya
uzinduzi wa Kongamano hilo.
Post a Comment