Watu 47 Wamefariki Dunia Nchini NIGERIA kufuatia Mlipuko wa Bomu
Jeshi nchini Nigeria linasema kuwa
kumetokea mlipuko mkubwa katika soko moja kaskazini mashariki mwa jimbo
la Borno.
Takribani watu 47 wamefariki huku wengine 55 wakijeruhiwa katika
mji wa sabon gari.
Kundi la Boko Haram limekuwa likitekeleza mashambulio katika eneo lote la kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Post a Comment