Naibu
Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa kwanza kulia
akiongea na wasanii wa kikundi cha sanaa na utamaduni cha Albino Revolution
Troup kutoka Wilayani Temeke walipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia
changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu katika kutekeleza majukumu yao ya
kisanaa, kulia kwa naibu waziri ni Mkurugenzi wa kikundi hicho Bw. Titto
Mtanga.
|
Post a Comment