Bunge la Bajeti laanza Mjini Dodoma hii leo
| Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma kuongoza kikao cha kwanza cha mkutano wa tatu wa Bunge Aprili 19, 2016. |
| Ruth Owenya akiapa kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Aprili 19, 2016. |
| Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia) akimwapisha Ritta Kabati kuwa mbunge kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2016. |
| Spika wa Bunge, Job Ndugai akimwapisha Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2016. |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza, Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mstaafu , Shamsi Vuai Nahodha baada ya kuapishwa kuwa Mbunge, Bungeni mjini Dodoma, Aprili 19, 2016. |
Post a Comment