Simba Day ; SIMBA SC yang'ara Mbele ya Mashabiki wake
Rais
wa klabu ya soka ya Simba, Evans Aveva, (pichani juu), jana alikuwa kama kocha
wa Chelsea, Josse Morinho, kutokana na jinsi alivyokuwa akiwaelekeza wachezaji
wa timu ya viongozi wa Simba dhidi ya timu ya soma ya wasanii wa bongo movie na
bongo flava kwenye maadhimisho ya siku ya Simba almaarufu kama Simba Day.
Aveva
abaye alikuwa “kaulamba” yaani kapiga suti yake nyeusi, alikuwa ndio “kocha wa
timu hiyo ya viongozi wa Simba.
Akiwa
amevalia suti nyeusi, hakuweza kutulia kwenye kiti, kila wakati alisimama na
kuwaelekeza wachezaji wake kwa kunyoosha mikono na kufoka.
Timu
ya soka ya viongozi wa Simba iliibuka mshindi wa bao 1-0.
Baada ya pambano hilo, lilifuatia tendo la kuwatambulisha wachezaji wapya wa Simba na benchi la ufundi kabla ya kuanza kwa pambano maalum la kirafiki baina ya timu hiyo ya mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam na wageni wao Sports Club Villa ya Uganda, katika pambano hilo la kirafikli, Simba iliibanjua Sports Club Villa "Jogoo" bao 1-0. Bao lililofungwa na Awadh Juma, kwenye dakika ya 45 ya kipindi cha lala salama.
Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba, Hassan Dalali(kulia).
Kikosi cha timu ya wasanii.
Kikosi cha timu ya viongozi wa Simba.
Aveva katika "ubora" wake.
Ben Kinyaiya, (kulia) wa timu ya wasanii, akiumiliki mpira mbele ya Imani Kajula.
JB akiwatoka wachezaji wa timu ya viongozi wa Simba.
JB akifuatilia jinsi wenzake wanavyopelekwa puta na timu ya viongozi wa Simba.
Kocha mkuu wa Simba, katika "ubora" wake.
Mgeni rasmi, wa Simba Day, Mohammed Dewji "MOD", akisalimiana na mshambuliaji wa Simba, Mussa Hassan Mgosi.
Mo akisalimiana na wachezaji wa timu ya Sports Club Villa ya Uganda.
Kikosi cha timu ya Sports Club Villa, kilichomenyana na Simba na kuangukia "pua" kwa kunyukwa bao 1-0.
Kikosi kipya cha Simba, kilichoinyuka Sports Club Villa.
Kikosi cha timu ya wasanii.
Kikosi cha timu ya viongozi wa Simba.
Aveva katika "ubora" wake.
Ben Kinyaiya, (kulia) wa timu ya wasanii, akiumiliki mpira mbele ya Imani Kajula.
JB akiwatoka wachezaji wa timu ya viongozi wa Simba.
JB akifuatilia jinsi wenzake wanavyopelekwa puta na timu ya viongozi wa Simba.
Kocha mkuu wa Simba, katika "ubora" wake.
![]() |
| Kocha Mkuu wa Simba, akizungumza jambo na mchezaji wake, Hamisi Kiiza Diego |
Mo akisalimiana na wachezaji wa timu ya Sports Club Villa ya Uganda.
Kikosi cha timu ya Sports Club Villa, kilichomenyana na Simba na kuangukia "pua" kwa kunyukwa bao 1-0.
Kikosi kipya cha Simba, kilichoinyuka Sports Club Villa.
![]() |
| Mashabiki wa Simba wakiishangilia timu yao |
Aveva katika "ubora" wake.
Msemaji wa Simba, Haji Sunday Manara, ni mmoja wa watu "waliovunjwa mbavu" na Aveva.
Msemaji wa Simba, Haji Sunday Manara, (kushoto), akionyesha "kumbe wamo".
Imani Kajula, (kulia), wa timu ya viongozi wa Simba, akijaribu kuutuliza mpira.
Mchezaji wa kiungo wa timu ya Wasanii JB, akiusaka mpira katikati ya uwanja.
Ibrahim Masoud, "Maestro" akipiga hesabu wakati wa pambano kati ya timu ya soka ya viongozi wa Simba na ile ya wasanii.
Mshambuliaji wa Simba, Khamisi Kiiza
"Diego", (kulia), akijaribu kuupiga mpira huku akichungwa na msitu wa
walinzi wa SSC Villa kutoka Uganda.































Post a Comment