Mabondia LULU KAYAGE na RAMADHANI SHAURI kuzipiga Afrika Kusini Agosti 9
Wakati msichana Lulu Kayage atazipiga na Lizbeth sivhaga
Shauri atazipiga na bondia mzoefu Philip ndlovu ambaye
amshawahi kuzipiga na Floyd mayweather hapo mwaka 2003, mapambano
hayo yatafanyika tarehe 09 Aug katika mji Wa Limpopo.
awali mabondia
hao wataongiozana na Rais wa TPBO Yassin Abdallah kwa ndege Ethiopia
air
line bondia Lulu Kayage anakwenda kupambana uko baada ya kumtwanga
Mwanne Haji kwa point mpambano wa raundi sita na kupata nafasi hiyo.
Kayage kwa sasa ni bondia nambari moja kwa upande wa wanawake katika
uzito wake wa kg 51 lulu mpaka sasa ameshiliki mapambano 6 kasinda 4
kapigwa 1 na moja alitoka sale na bondia Halima Ramadhani.
Post a Comment