Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akikagua ubora wa moja
ya kazi zinazosambazwa na moja ya kampuni ya usambazaji nchini wakati wa
mkutano kati yake na wasambazaji hao uliojadili namna gani ya kuboresha tasnia
hiyo kwa manufaa ya wasanii, wasambazaji na uchumi wa Taifa,kushoto kwake ni
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce Fissoo. |
Post a Comment