Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA afanya Ziara Jimbo Kwake
| Waziri Mkuu, KassimMajaliwa akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa kuhutubia mkutano wa hadhara Aprili 10, 2016. |
| Mmoja wa wananchi wa kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa (jina halikupatikana) akimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati aipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo, Aprili 10, 2016. |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. |
Post a Comment