NDESAMBURO amuombea Kura Mgombea Ubunge Jimbo la Moshi Mjini Kupitia CHADEMA
![]() |
| Baadhi ya wananchi wakiwa kando ya barabara wakifuatilia mkutano huo. |
![]() |
| Mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema,Jafary Michael akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Ngangamfumuni mjini Moshi. |
![]() |
| Mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akiomba kura . |
![]() |
| Baadhi ya wafuasi na wananchi waliofika katika mkutano huo. |
![]() |
| Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akimumbea kura mgombea wa nafasi ya udiwani katika kata ya Ngangamfumuni,Anthony. |













Post a Comment