Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa mtandao mpya
wa simu za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro
jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR
Waziri wa Sayansi na Tknolojia, Makame Mbarawa,
akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi Makamu wa Rais,Dkt Bilal,
kuzindua rasmi Halotel Tanzania katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya
Hyatt Kilimanjaro jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akiwaongoza viongozi wenzake kupiga ngoma
kama ishara ya uzinduzi rasmi wa Mtandao mpya wa mawasiliano wa Halotel
Tanzania, wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt
Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akigonganisha glasi na baadhi ya viongozi wa
Vietnam kama ishara ya furaha baada ya uzinduzi rasmi wa Mtandao mpya wa
mawasiliano wa Halotel Tanzania, wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika
kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15,
2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal (katikati) akizungumza jambo na Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, wakati
walipokuwa kwenye Hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu za Halotel
Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam,
jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Mawasiliano wa Vietnam,Nguyen
Bac Son, wakati walipokutana kwenye hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu
za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar
es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR
Post a Comment