Makamu wa Rais Dkt BILAL azindua Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib, akipata
maelezo kuhusu utendaji kazi wa mitambo ya kutunzia kumbukumbu, kutoka kwa Mkuu
wa Kitengo cha Huduma na Bidhaa za Shirika la Simu Tanzania, TTCL, Issaya
Ernest, wakati Dkt Bilal, alipotembelea kituo hicho cha kutunzia kumbukumbu cha
Taifa (National Internet Data Centre) Kijitonyama, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri
wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa, kwa pamoja wakifunua
kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa
(National Internet Data Centre) Kijitonyama, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib, akipata
maelezo kuhusu utendaji kazi wa mitambo ya kutunzia kumbukumbu, kutoka kwa Meneja
wa Miradi wa Shirika la Simu Tanzania, TTCL, Leo Magomba, wakati Dkt Bilal,
alipotembelea kituo hicho cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa (National Internet Data
Centre) Kijitonyama, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Simu Tanzania TTCL, wakati
alipotembelea kituo hicho cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa (National Internet Data
Centre) Kijitonyama, leo Okt 21, 2015. Kushoto ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi
na Teknolojia, Makame Mbarawa (kulia) ni Afisa Mtendaji wa TTCL, Dkt. Kamugisha
Kazaura.
Sehemu ya wafanyakazi wa Shirika la Simu Tanzania, wakimsikiliza Makamu wa Rais
Dkt. Bilal, wakati alipokuwa akizungumza nao baada ya kutembelea mitambo hiyo,
Kijitonyama.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifunua kitambaa kuzindua Jengo jipya la Mradi wa Kituo cha Kutunzia
kumbukumbu Taifa (National Internet Data Centre) Kijitonyama, wakati wa hafla
hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo Kijitonyama, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri
wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa (kushoto) na Mwakilishi
wa Ofisi ya Uchumi na Biashara ya Serikali ya China, nchini Tanzania, Lin
Zhiyong, kwa pamoja wakikata utepe kuashiria
uzinduzi rasmi wa Kituo cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa (National Internet Data
Centre) Kijitonyama, leo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib, akipata
maelezo kuhusu utendaji kazi wa mitambo ya kutunzia kumbukumbu, kutoka kwa Meneja
wa Miradi wa Shirika la Simu Tanzania, TTCL, Leo Magomba, wakati Dkt Bilal,
alipotembelea kituo hicho cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa (National Internet Data
Centre) Kijitonyama, leo.
Mrisho Mpoto na wasanii wa bendi yake ya Mjomba, wakitoa
burudani.
Waziri
wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa, akizungumza kabla ya
kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais, kuhutubia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafl ya uzinduzi wa Kituo cha kutunzia kumbukumbu cha
Taifa (National Internet Data Centre) Kijitonyama, jijini Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akibofya kitufye kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kutunzia kumbukumbu cha
Taifa (National Internet Data Centre) Kijitonyama, jijini Dar es Salaam, wakati
wa hafla ya uzinduzi huo uliofanyika leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Mtendaji wa TTCL, Dkt.
Kamugisha Kazaura, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa
(National Internet Data Centre) Kijitonyama, jijini Dar es Salaam, wakati wa
hafla ya uzinduzi huo uliofanyika leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa hafla ya uzinduzi huo baada ya kuzindua rasmi leo Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.

Post a Comment