Mashua iliyozama MEDITERRANEAN, Matumaini ya Kuwapata manusura imetoweka

Jeshi la wanamaji la Italia limesema kuwa miili 25 imeokolewa hadi kufikia sasa lakini idadi ya watu wasiojulikana waliko bado haijabainika.
Zaidi ya wahamiaji 2,000 wanasemekani kufariki dunia mwaka 2015 wakijaribu kuvuka bahari ya Mediterranean kuingia Ulaya.
Kisa cha Jumatano kimetokea wakati mashua ya uvuvi iliobeba abiria kupita kiasi kukumbwa na hali mabya ya hewa takriban kilomita 25 kutoka pwani ya Libya.
Mbiu ya mgambo ilisikika mjini Sicily na boti ya kwanza kuwasili ilikuwa ilr ya wanamaji kutoka Ireland,LE Niamh.
Lakini boti hilo lilipowasili wahamiaji hao walielekea katika upande mmoja na kulifanya kuzama.
Post a Comment