Header Ads

Rais JAKAYA KIKWETE Katika Hafla ya Kongamano la Pili la Diaspora

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC.
Rais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC, Bw. Matheu Lamolle Mtafiti wa Massoko wa Taasisi ya International Trade Centre (ITC) ya Uswisi ambao ndio waliokuwa wadhamini wakuu wa kongamano hilo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu  Zanzibar (Utawala Bora)  Mhe Dk Mwinyihaji Makame, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania DMV Marekani  Bw. Iddi Sandaly, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula na Bi Mariam Mungula wa Diapora London.
MC wa hafla hiyo ambaye ni Mratibu wa Dawati la Diaspora katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bi Suzana Mzee akiwa kazini.
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.

Wana Diaspora wa London na Maputo.

Wadau wa Disapora kutoka kampuni ya simu.
 
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Mwanahabari wa kamati ya Diaspora na blogger maarufu nchini Maggid Mjengwa na mdau.
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Mdau wa Diaspora akichukua taswira ya hafla.
Rais Kikwete akihutubia wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  wakimsikiliza Rais Kikwete katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake.
Rais Kikwete akisisitiza umuhimu wa wana Diaspora kuwekeza nyumbani.
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Rais Kikwete akipongezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu  Zanzibar (Utawala Bora)  Mhe Dk Mwinyihaji Makame, baada ya hotuba.
Rais Kikwete akitoa hati kwamwakilishi wa kampuni ya HUAWEI ambao ni  wadhamini wa hafla hiyo.
Hati kwa mdau mdhamini.
Hati ya udhamini kwa PPF inayopokewa na Bi Lulu.

Hati ya udhamini kwa NIC.
Hati kwa mdau.
Hati kwa mdhamini.
Hati kwa mdhamini.
 
Hati kwa Mamlaka ya Bandari.
Hati kwa Shirika la Nyumba.
Hati kwa mdhamini.
Hati kwa Azania Bank.
Hati kwa mdhamini.
Hati kwa mdhamini toka Coca Cola.
Hati kwa mdhamini.
Hati kwa mdhamini toka Clouds FM.
Hati kwa mdhamini.
Hati kwa mdhamini Mkuu.
Hati kwa mdhamini mkuu.
Hati na pongezi kwa mdhamini mkuu.
Salamu toka kwa mdau kijana toka China.
Peter Msechu na bendi yake jukwaani.
Hafla ilinogeshwa na onesho la mavazi la Kiafrika toka kwa Fabak Fashions.
Wanamitindo wa Fabak Fashions.
Picha ya pamoja na Asia Idarous-Khamsin na wanamitindo.
Picha ya pamoja na Asia Idarous-Khamsin na wanamitindo wake.
Rais Kikwete akapata picha za pamoja na wadau.
Rais Kikwete alipita meza moja moja kusalimia wadau wa Diaspora.

Rais Kikwete akisalimiana na mwanahabari wa kamati ya Diaspora na blogger maarufu nchini Maggid Mjengwa.
Rais Kikwete akisalimiana na mdau wa Diaspora London, Amos Msanjila.
Rais Kikwete na mdau kutoka Maputo.
Selfie zilikuwepo kama kawa.
Selfie na wadau wa Diaspora wa Azania Bank.
Rais Kikwete akiwa na wanabendi wa Peter Msechu waliotumbuiza katika hafla hiyo.

Rais Kikwete na Asia Idarous-Khamsin na Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC na Waziri  Dkt. Mwinyihaji Makame.
Rais Kikwete akiongea na watoto na vijana wa Diaspora.
 
Rais Kikwete akiagana na Meneja Mkuu wa Hoteli ya Serena na wasaidizi wake baada ya hafla.

No comments

Powered by Blogger.