Header Ads

Taasisi ya Tanzania Bora, imefanya Kongamano la Vijana, Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 25

Balozi wa Marekani Nchini Tanzania,  Mark Childress akizungumza katika Kongamano hilo lililohusu Ndoto Kubwa ya vijana kabla ya uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi lililofanyika jana Hoteli ya New Afrika jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi kutoka Taasisi ya Ekihya, Lillian Secelela akiongoza kongamano hilo.
Mtaalamu wa masuala ya vijana, Humphrey Polepole, akizungumza katika kongamano hilo. Polepole alikuwa mmoja wa wageni kwenye kongamano hilo  na alichangia mada kadhaa sanjari na wenzane watatu, ambao ni Modesta Mbughuni, Nick Two, Emelda Mwamanga na Chikulupi Kisaka.
Modesta Mbughuni akichangia mada katikaaaaa kongamano hilo.

Chikulupi Kisaka akichangia mada kwenye kongamano hilo.
Wageni mbalimbali wakiwa kwenye kongamano hilo. Wa tatu kulia ni Balozi wa Marekani Nchini Tanzania,  Mark Childress.
 
Emelda Mwamanga akichangia mambo mbalimbali kwenye kongamano hilo.
Wasanii wakitoa burudani katika kongamano hilo.
Wadau mbalimbli wakiwa kwenye kongamano hilo.
Kongamano likiendelea.
Wadau wakiwa kwenye kongamano hilo lililofanyika New Afrika Hotel Dar es Salaam jana.
Mwanaharakati Maria Sarungi akichangia jambo kwenye kongamano hilo.
Mwanasheria Onesmo Olengurumwa akichangia jambo katika kongamano hilo.
Bloger William Malecela 'Limtuz' akichangia jambo.
Mpambanaji Rose Ndauka akichangia jambo.
Mwenyekiti wa Asasi isiyo ya kiserikali ya Tanzania Peoples D'sasitees Organization (TAPWIDO), Michel Mwanzalima akichangia jambo kuhusu watu wenye ulemavu ushirikishwaji wao katika uchaguzi.
Mtaalamu wa masuala ya kijamii, Khalila Mbowe akichangia jambo kwenye kongamano hilo.
Mmoja wa maofisa wa Taasisi ya Tanzania Bora Initiative, Geofrey Nyombi akitoa ufafanuzi wa masuala kadhaa kuhusu kongamano hilo.

No comments

Powered by Blogger.