Kambi ya RIEK MACHAR, imekimbiwa na Majenerali Wawili

Gathoth Gatkuoth na Peter Gadet wamesema kuwa sasa wanakabiliana na waasi hao pamoja na serikali mjini Juba.
Vita
vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan Kusini vilizuka mwaka 2013 kati ya
vikosi vilivyo vitiifu kwa rais Salva Kiir na wapiganaji wa Machar
aliyekuwa naibu wake.
Wapatanishi wa eneo hili wameweka makataa ya tarehe 17 mwezi Agosti kwa makubaliano ya amani kuafikiwa.
Haijulikani
waasi hao wana wanajeshi wangapi,lakini wachanganuzi wanasema kuwa
majenerali wote wawili wamekuwa na uwezo mkubwa ardhini na kujiondoa
kwao kunaweza kuathiri pakubwa mazungumzo ya amani.
Post a Comment