Mke wa Rais Mama JANETH MAGUFULI aruhusiwa Kutoka Hospitalini Alikolazwa
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimshukuru Dkt.
Raymond Mwenesano, Mkuu wa Idara ya Wagonjwa wa nje na Daktari Bingwa wa
magonjwa ya ndani katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mara baada ya
kuruhusiwa kutoka hospitalini hapo na kurejea nyumbani baada ya kupata nafuu.
|
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimshukuru
Dkt. Edward Ngwalle, Daktari wa Rais mara baada ya kuruhusiwa kutoka
hospitalini hapo na kurejea nyumbani baada ya kupata nafuu.
|
Post a Comment